Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 19 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿وَأَن لَّا تَعۡلُواْ عَلَى ٱللَّهِۖ إِنِّيٓ ءَاتِيكُم بِسُلۡطَٰنٖ مُّبِينٖ ﴾
[الدُّخان: 19]
﴿وأن لا تعلوا على الله إني آتيكم بسلطان مبين﴾ [الدُّخان: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na msimfanyie kiburi Mwenyezi Mungu kwa kuwakanusha Mitume Wake, kwani mimi ni mwenye kuwajia na hoja waziwazi ya ukweli wa utume wangu |