Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 17 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿۞ وَلَقَدۡ فَتَنَّا قَبۡلَهُمۡ قَوۡمَ فِرۡعَوۡنَ وَجَآءَهُمۡ رَسُولٞ كَرِيمٌ ﴾
[الدُّخان: 17]
﴿ولقد فتنا قبلهم قوم فرعون وجاءهم رسول كريم﴾ [الدُّخان: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika sisi tushawafanyia mtihani na kuwajaribu watu wa Fir’awn kabla ya hawa washirikina, na aliwajia wao Mtume mtukufu, naye ni Mūsā, amani imshukie, wakamkanusha na wakaangamia. Basi hivi ndivyo tutakavyowafanya maadui zako, ewe Mtume, wasipoamini |