Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 22 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿فَدَعَا رَبَّهُۥٓ أَنَّ هَٰٓؤُلَآءِ قَوۡمٞ مُّجۡرِمُونَ ﴾
[الدُّخان: 22]
﴿فدعا ربه أن هؤلاء قوم مجرمون﴾ [الدُّخان: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo Mūsā akamuomba Mola wake, Fir’awn na watu wake walipomkanusha, akisema, «Hakika hawa ni watu wenye kumshirikisha Mwenyezi Mungu na kumkanusha.” |