Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 23 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿فَأَسۡرِ بِعِبَادِي لَيۡلًا إِنَّكُم مُّتَّبَعُونَ ﴾
[الدُّخان: 23]
﴿فأسر بعبادي ليلا إنكم متبعون﴾ [الدُّخان: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi enda na waja wangu waliokuamini, wakakusadiki na wakakufuata, ewe Mūsā, katika kipindi cha usiku, kwani nyinyi mtafuatwa na Fir’awn na askari wake. Na nyinyi mtaokolewa, na Fir’awn askari wake watazama |