Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 3 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿إِنَّآ أَنزَلۡنَٰهُ فِي لَيۡلَةٖ مُّبَٰرَكَةٍۚ إِنَّا كُنَّا مُنذِرِينَ ﴾
[الدُّخان: 3]
﴿إنا أنـزلناه في ليلة مباركة إنا كنا منذرين﴾ [الدُّخان: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi tuliiteremsha katika Usiku wa Cheo uliobarikiwa wenye kheri nyingi, nao unapatikana katika mwezi wa Ramadhani. Sisi ni wenye kuonya watu kwa kile kinachowanufaisha na kuwadhuru, nako ni kule kupeleka Mitume na kuteremsha Vitabu, ili hoja ya Mwenyezi Mungu iwasimamie waja Wake |