Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 4 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿فِيهَا يُفۡرَقُ كُلُّ أَمۡرٍ حَكِيمٍ ﴾
[الدُّخان: 4]
﴿فيها يفرق كل أمر حكيم﴾ [الدُّخان: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Katika usiku huo linaamuliwa na kupambanuliwa, kutoka kwenye Ubao Uliohifadhiwa na kuletewa waandishi kati ya Malaika, kila jambo lililokadiriwa la muda wa kuishi na riziki katika mwaka huo na mambo mengine yatakayokuwa na kukadiriwa na Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, mpaka mwisho wa mwaka, hayabadilishwi wala hayageuzwi |