Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 35 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿إِنۡ هِيَ إِلَّا مَوۡتَتُنَا ٱلۡأُولَىٰ وَمَا نَحۡنُ بِمُنشَرِينَ ﴾
[الدُّخان: 35]
﴿إن هي إلا موتتنا الأولى وما نحن بمنشرين﴾ [الدُّخان: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr ”Hakuna kifo chochote ila kile kifo chetu tutakachokufia , nacho ndicho kifo cha mwanzo na cha mwisho, na sisi baada ya kufa kwetu hatutakuwa ni wenye kufufuliwa tuhesabiwe na tulipwe mema au tuteswe.” |