Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 36 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿فَأۡتُواْ بِـَٔابَآئِنَآ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ﴾
[الدُّخان: 36]
﴿فأتوا بآبائنا إن كنتم صادقين﴾ [الدُّخان: 36]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wanasema pia, «Basi tuletee, ewe Muhammad: wewe na walio pamoja na wewe, wazazi wetu waliokufa, iwapo nyinyi ni wakweli kwamba Mwenyezi Mungu Atawafufua walio makaburini wakiwa hai.” |