Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 44 - قٓ - Page - Juz 26
﴿يَوۡمَ تَشَقَّقُ ٱلۡأَرۡضُ عَنۡهُمۡ سِرَاعٗاۚ ذَٰلِكَ حَشۡرٌ عَلَيۡنَا يَسِيرٞ ﴾
[قٓ: 44]
﴿يوم تشقق الأرض عنهم سراعا ذلك حشر علينا يسير﴾ [قٓ: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siku ambayo ardhi itapasukapasuka itoe wafu waliozikwa humo, watoke mbio kuelekea upande wa yule anayeita. Kuwakusanya watu hivyo kwenye Kisimamo cha Hesabu ni jambo sahali kwetu na rahisi |