Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 25 - الذَّاريَات - Page - Juz 26
﴿إِذۡ دَخَلُواْ عَلَيۡهِ فَقَالُواْ سَلَٰمٗاۖ قَالَ سَلَٰمٞ قَوۡمٞ مُّنكَرُونَ ﴾
[الذَّاريَات: 25]
﴿إذ دخلوا عليه فقالوا سلاما قال سلام قوم منكرون﴾ [الذَّاريَات: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na walikuwa ni miongoni mwa Malaika watukufu- wakati walipomjia nyumbani kwake, wakamwamkia kwa kumwambia, «Salama!»Akawarudishia maamkizi kwa kusema, «Salama ni kwenu! Nyinyi ni watu wageni hatuwajui.» |