Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 43 - الذَّاريَات - Page - Juz 27
﴿وَفِي ثَمُودَ إِذۡ قِيلَ لَهُمۡ تَمَتَّعُواْ حَتَّىٰ حِينٖ ﴾
[الذَّاريَات: 43]
﴿وفي ثمود إذ قيل لهم تمتعوا حتى حين﴾ [الذَّاريَات: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kuhusu watu wa kabila la Thamūd na kuangamizwa kwao kuna dalili na mazingatio, walipoambiwa-na msemaji hapa ni Nabii wao Ṣāliḥ, amani imshukie-, «Jistarehesheni mjini kwenu siku tatu mpaka muda wenu wa kuishi ukome |