Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 46 - الذَّاريَات - Page - Juz 27
﴿وَقَوۡمَ نُوحٖ مِّن قَبۡلُۖ إِنَّهُمۡ كَانُواْ قَوۡمٗا فَٰسِقِينَ ﴾
[الذَّاريَات: 46]
﴿وقوم نوح من قبل إنهم كانوا قوما فاسقين﴾ [الذَّاريَات: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tuliwaangamiza watu wa Nūḥ kabla ya hawa, hakika wao walikuwa ni watu wenye kuenda kinyume na amri ya Mwenyezi Mungu, wenye kutoka nje ya utiifu Kwake |