Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 47 - الذَّاريَات - Page - Juz 27
﴿وَٱلسَّمَآءَ بَنَيۡنَٰهَا بِأَيۡيْدٖ وَإِنَّا لَمُوسِعُونَ ﴾
[الذَّاريَات: 47]
﴿والسماء بنيناها بأيد وإنا لموسعون﴾ [الذَّاريَات: 47]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mbingu tuliziumba na tukazitengeneza vizuri, na tukazifanya ni sakafu ya ardhi kwa nguvu na uweza mkubwa, na sisi tutayapanua maeneo yake na pande zake |