Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 49 - الذَّاريَات - Page - Juz 27
﴿وَمِن كُلِّ شَيۡءٍ خَلَقۡنَا زَوۡجَيۡنِ لَعَلَّكُمۡ تَذَكَّرُونَ ﴾
[الذَّاريَات: 49]
﴿ومن كل شيء خلقنا زوجين لعلكم تذكرون﴾ [الذَّاريَات: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kutokana na kila kitu katika jinsi ya vitu vilivyoko tumeumba aina mbili tafauti, ili mjikumbushe uweza wa Mwenyezi Mungu na mzingatie |