Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 27 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿وَيَبۡقَىٰ وَجۡهُ رَبِّكَ ذُو ٱلۡجَلَٰلِ وَٱلۡإِكۡرَامِ ﴾
[الرَّحمٰن: 27]
﴿ويبقى وجه ربك ذو الجلال والإكرام﴾ [الرَّحمٰن: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na utasalia uso wa Mola wako Mwenye utukufu, ubora, kheri nyingi na upaji. Katika aya hii pana kuthibitisha sifa ya uso kwa Mwenyezi Mungu kwa namna inavyonasibiana na Yeye, kutakasika ni Kwake, bila kufananisha wala kueleza namna ulivyo |