Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 46 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿وَلِمَنۡ خَافَ مَقَامَ رَبِّهِۦ جَنَّتَانِ ﴾
[الرَّحمٰن: 46]
﴿ولمن خاف مقام ربه جنتان﴾ [الرَّحمٰن: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na anayemcha Mwenyezi Mungu, miongoni mwa waja Wake binadamu na majini, akaogopa kusimama kwake mbele Yake, akamtii na akaacha kumuasi atakuwa na mabustani mawili ya Pepo |