Quran with Swahili translation - Surah Al-An‘am ayat 72 - الأنعَام - Page - Juz 7
﴿وَأَنۡ أَقِيمُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَٱتَّقُوهُۚ وَهُوَ ٱلَّذِيٓ إِلَيۡهِ تُحۡشَرُونَ ﴾
[الأنعَام: 72]
﴿وأن أقيموا الصلاة واتقوه وهو الذي إليه تحشرون﴾ [الأنعَام: 72]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hivyohivyo tumeamrishwa tusimamishe Swala kikamilifu, tumuogope Yeye kwa kufanya maamrisho Yake na kuepuka makatazo Yake. Na Yeye, Aliyetukuka na kuwa juu, Ndiye Ambaye Kwake Yeye watakusanywa viumbe wote Siku ya Kiyama |