Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 9 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿وَدُّواْ لَوۡ تُدۡهِنُ فَيُدۡهِنُونَ ﴾
[القَلَم: 9]
﴿ودوا لو تدهن فيدهنون﴾ [القَلَم: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wanatamani na wanapenda lau wewe unakuwa laini kwao na kuwakubalia baadhi ya misimamo waliyonayo, na wao wakawa laini kwako |