Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 106 - الأعرَاف - Page - Juz 9
﴿قَالَ إِن كُنتَ جِئۡتَ بِـَٔايَةٖ فَأۡتِ بِهَآ إِن كُنتَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ ﴾
[الأعرَاف: 106]
﴿قال إن كنت جئت بآية فأت بها إن كنت من الصادقين﴾ [الأعرَاف: 106]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Fir'awn alisema kumwambia Mūsā, «Ukiwa umekuja na alama, kama unavyodai, basi niletee na uihudhurishe mbele yangu, ili madai yako yawe ya sawa na ukweli wako uthibiti, iwapo wewe ni mkweli katika madai yako kuwa wewe ni mjumbe wa Mola wa viumbe.» |