Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma‘arij ayat 36 - المَعَارج - Page - Juz 29
﴿فَمَالِ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ قِبَلَكَ مُهۡطِعِينَ ﴾
[المَعَارج: 36]
﴿فمال الذين كفروا قبلك مهطعين﴾ [المَعَارج: 36]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni msukumo gani unaowasukuma makafiri watembee kwa haraka kuelekea upande wako, ewe Mtume, na huku wamenyosha shingo zao kwako, wamekukabili kwa macho yao |