Quran with Swahili translation - Surah Nuh ayat 5 - نُوح - Page - Juz 29
﴿قَالَ رَبِّ إِنِّي دَعَوۡتُ قَوۡمِي لَيۡلٗا وَنَهَارٗا ﴾
[نُوح: 5]
﴿قال رب إني دعوت قومي ليلا ونهارا﴾ [نُوح: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nūḥ akasema, «Mola wangu! Kwa hakika mimi nimewalingania watu wangu usiku na mchana ili wakuamini wewe na wakutii |