Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 7 - الجِن - Page - Juz 29
﴿وَأَنَّهُمۡ ظَنُّواْ كَمَا ظَنَنتُمۡ أَن لَّن يَبۡعَثَ ٱللَّهُ أَحَدٗا ﴾
[الجِن: 7]
﴿وأنهم ظنوا كما ظننتم أن لن يبعث الله أحدا﴾ [الجِن: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na kwamba makafiri wa kibinadamu walidhania kama mlivyodhania, enyi majini, kuwa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka hatamfufua yoyote baada ya kufa |