Quran with Swahili translation - Surah Al-Muddaththir ayat 38 - المُدثر - Page - Juz 29
﴿كُلُّ نَفۡسِۭ بِمَا كَسَبَتۡ رَهِينَةٌ ﴾
[المُدثر: 38]
﴿كل نفس بما كسبت رهينة﴾ [المُدثر: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kila nafsi imefungwa na kuwekwa rahani kwa ilichokitenda, miongoni mwa matendo mema au mabaya, kwa kukichuma. Haifunguliwi mpaka itekeleze haki zilizo juu ya lazima yake na ipatiwe mateso yanayostahili kupatiwa |