Quran with Swahili translation - Surah Al-Muddaththir ayat 56 - المُدثر - Page - Juz 29
﴿وَمَا يَذۡكُرُونَ إِلَّآ أَن يَشَآءَ ٱللَّهُۚ هُوَ أَهۡلُ ٱلتَّقۡوَىٰ وَأَهۡلُ ٱلۡمَغۡفِرَةِ ﴾
[المُدثر: 56]
﴿وما يذكرون إلا أن يشاء الله هو أهل التقوى وأهل المغفرة﴾ [المُدثر: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hawawaidhiki kwayo isipokuwa iwapo Mwenyezi Mungu Amewatakia kuongoka. Yeye, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, Ndiye Anayestahiki kuogopewa na kutiiwa, na Ndiye Anayestahiki kumsamehe anayemuamini Yeye na kumtii |