Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 1 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿هَلۡ أَتَىٰ عَلَى ٱلۡإِنسَٰنِ حِينٞ مِّنَ ٱلدَّهۡرِ لَمۡ يَكُن شَيۡـٔٗا مَّذۡكُورًا ﴾ 
[الإنسَان: 1]
﴿هل أتى على الإنسان حين من الدهر لم يكن شيئا مذكورا﴾ [الإنسَان: 1]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Kishampitia binadamu kipindi kirefa cha wakati kabla hajapulizwa roho ambapo hakuwa ni kita kinachotajika wala haijulikani athari yake |