Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 8 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿وَيُطۡعِمُونَ ٱلطَّعَامَ عَلَىٰ حُبِّهِۦ مِسۡكِينٗا وَيَتِيمٗا وَأَسِيرًا ﴾
[الإنسَان: 8]
﴿ويطعمون الطعام على حبه مسكينا ويتيما وأسيرا﴾ [الإنسَان: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wanalisha chakula, pamoja na kuwa wanakipenda na kukihitajia, kumpa fukara asiyeweza kuchuma, asiyemiliki chochote katika vitu vya kilimwengu, na kumpa mtoto aliyefiliwa na babake kabla ya kubaleghe na asiye na mali, na kumpa mtu aliyetekwa vitani miongoni mwa washirikina na wengineo |