Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 38 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿هَٰذَا يَوۡمُ ٱلۡفَصۡلِۖ جَمَعۡنَٰكُمۡ وَٱلۡأَوَّلِينَ ﴾
[المُرسَلات: 38]
﴿هذا يوم الفصل جمعناكم والأولين﴾ [المُرسَلات: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hii ni Siku ambayo Mwenyezi Mungu Atatoa uamuzi baina ya viumbe, na ukweli na ubatilifu utapambanuka. Tutawakusanya nyinyi Siku hiyo, enyi makafiri wa ummah huu, pamoja na makafiri wa mwanzo miongoni mwa ummah waliopita |