Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 39 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿فَإِن كَانَ لَكُمۡ كَيۡدٞ فَكِيدُونِ ﴾
[المُرسَلات: 39]
﴿فإن كان لكم كيد فكيدون﴾ [المُرسَلات: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi mkiwa na hila za kujitoa na adhabu, tumieni hila zenu na mziokoe nafsi zenu na msukosuko wa Mwenyezi Mungu na mateso Yake |