Quran with Swahili translation - Surah An-Naba’ ayat 39 - النَّبَإ - Page - Juz 30
﴿ذَٰلِكَ ٱلۡيَوۡمُ ٱلۡحَقُّۖ فَمَن شَآءَ ٱتَّخَذَ إِلَىٰ رَبِّهِۦ مَـَٔابًا ﴾
[النَّبَإ: 39]
﴿ذلك اليوم الحق فمن شاء اتخذ إلى ربه مآبا﴾ [النَّبَإ: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hiyo ndiyo siku ya haki isiyokuwa na shaka kuja kwake. Kwa hivyo, yule atakaye kuokoka na vituko vya Siku hiyo, na ajifanyie njia ya marejeo kwa Mola wake kutenda vitendo vyema |