×

Ndio hivyo! Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kudhoofisha vitimbi vya makafiri 8:18 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:18) ayat 18 in Swahili

8:18 Surah Al-Anfal ayat 18 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 18 - الأنفَال - Page - Juz 9

﴿ذَٰلِكُمۡ وَأَنَّ ٱللَّهَ مُوهِنُ كَيۡدِ ٱلۡكَٰفِرِينَ ﴾
[الأنفَال: 18]

Ndio hivyo! Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kudhoofisha vitimbi vya makafiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ذلكم وأن الله موهن كيد الكافرين, باللغة السواحيلية

﴿ذلكم وأن الله موهن كيد الكافرين﴾ [الأنفَال: 18]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kitendo hiki cha kuwaua washirikina na kuwarushia waliposhindwa na mtihani mzuri wa kuwapa ushindi Waumini juu ya maadui zao, huo unatoka kwa Mwenyezi Mungu kuja kwa Waumini, na kwamba Mwenyezi Mungu, mbeleni, ni mwenye kuvikosesha nguvu na kuvimaliza vitimbi vya makafiri mpaka wawe wanyonge na wafuate haki au waangamie
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek