Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 55 - يُوسُف - Page - Juz 13
﴿قَالَ ٱجۡعَلۡنِي عَلَىٰ خَزَآئِنِ ٱلۡأَرۡضِۖ إِنِّي حَفِيظٌ عَلِيمٞ ﴾
[يُوسُف: 55]
﴿قال اجعلني على خزائن الأرض إني حفيظ عليم﴾ [يُوسُف: 55]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yūsuf akataka kuwanufaisha waja na kueneza uadilifu baina yao, alimwambia mfalme, «Nifanye mimi kuwa msimamizi wa hazina za Misri, kwani mimi ni mshika hazina mwaminifu mwenye ujuzi na busara juu ya vitu ninavyosimamia.» |