×

Awe anayagugumia, wala hawezi kuyameza. Na mauti yawe yanamjia kutoka kila upande, 14:17 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ibrahim ⮕ (14:17) ayat 17 in Swahili

14:17 Surah Ibrahim ayat 17 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 17 - إبراهِيم - Page - Juz 13

﴿يَتَجَرَّعُهُۥ وَلَا يَكَادُ يُسِيغُهُۥ وَيَأۡتِيهِ ٱلۡمَوۡتُ مِن كُلِّ مَكَانٖ وَمَا هُوَ بِمَيِّتٖۖ وَمِن وَرَآئِهِۦ عَذَابٌ غَلِيظٞ ﴾
[إبراهِيم: 17]

Awe anayagugumia, wala hawezi kuyameza. Na mauti yawe yanamjia kutoka kila upande, naye wala hafi. Na zaidi ya hayo ipo adhabu nyengine kali vile vile

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يتجرعه ولا يكاد يسيغه ويأتيه الموت من كل مكان وما هو بميت, باللغة السواحيلية

﴿يتجرعه ولا يكاد يسيغه ويأتيه الموت من كل مكان وما هو بميت﴾ [إبراهِيم: 17]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenye kiburi atajaribu kumeza usaha na damu na vinginevyo vinavyotiririka mara kwa mara kutoka kwa watu wa Motoni, na hataweza kuzimeza kwa uchafu wake, umoto wake na uchungu wake. Na adhabu kali ya kila aina itamjia kwenye kila kiungo katika mwili wake. Hatakuwa ni mwenye kufa akapumzika. Na baada ya adhabu hii atapatiwa adhabu nyingine yenye kuumiza
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek