Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 57 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَيَجۡعَلُونَ لِلَّهِ ٱلۡبَنَٰتِ سُبۡحَٰنَهُۥ وَلَهُم مَّا يَشۡتَهُونَ ﴾
[النَّحل: 57]
﴿ويجعلون لله البنات سبحانه ولهم ما يشتهون﴾ [النَّحل: 57]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na makafiri wanamsingizia Mwenyezi Mungu kuwa ana watoto wa kike na huwa wakisema, «Malaika ni watoto wa kike wa Mwenyezi Mungu». Ameepukana Mwenyezi Mungu na neno lao. Na wanajichukulia wao wenyewe watoto wa kiume wanaowapenda |