×

Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na inameni pamoja na wanao inama 2:43 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:43) ayat 43 in Swahili

2:43 Surah Al-Baqarah ayat 43 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 43 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿وَأَقِيمُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتُواْ ٱلزَّكَوٰةَ وَٱرۡكَعُواْ مَعَ ٱلرَّٰكِعِينَ ﴾
[البَقَرَة: 43]

Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na inameni pamoja na wanao inama

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وأقيموا الصلاة وآتوا الزكاة واركعوا مع الراكعين, باللغة السواحيلية

﴿وأقيموا الصلاة وآتوا الزكاة واركعوا مع الراكعين﴾ [البَقَرَة: 43]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ingieni kwenye dini ya Uislamu: Msimamishe Swala kwa njia sahihi kama alivyokuja nayo Nabii wa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake Muhammad, rehema za Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, mtekeleze Zaka za lazima kwa namna iliyowekwa na Sheria, na mue pamoja na wanaorukuu katika ummah wake, rehema za Mwenyezi Mungu na amani zimshukie
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek