Quran with Swahili translation - Surah An-Nur ayat 49 - النور - Page - Juz 18
﴿وَإِن يَكُن لَّهُمُ ٱلۡحَقُّ يَأۡتُوٓاْ إِلَيۡهِ مُذۡعِنِينَ ﴾
[النور: 49]
﴿وإن يكن لهم الحق يأتوا إليه مذعنين﴾ [النور: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na iwapo haki iko upande wao, basi wao wanakuja kwa Nabii, rehema na amani zimshukie, wakiwa watiifu na kuwa tayari kuiandama hukumu yake, kwa kutambua kwao kwamba yeye atatoa uamuzi wa haki |