×

Na tutayaendea yale waliyo yatenda katika vitendo vyao, tuvifanye kama mavumbi yaliyo 25:23 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:23) ayat 23 in Swahili

25:23 Surah Al-Furqan ayat 23 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 23 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿وَقَدِمۡنَآ إِلَىٰ مَا عَمِلُواْ مِنۡ عَمَلٖ فَجَعَلۡنَٰهُ هَبَآءٗ مَّنثُورًا ﴾
[الفُرقَان: 23]

Na tutayaendea yale waliyo yatenda katika vitendo vyao, tuvifanye kama mavumbi yaliyo tawanyika

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقدمنا إلى ما عملوا من عمل فجعلناه هباء منثورا, باللغة السواحيلية

﴿وقدمنا إلى ما عملوا من عمل فجعلناه هباء منثورا﴾ [الفُرقَان: 23]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hapo tutayaleta yale waliyoyafanya yanayoonekana kuwa ni mazuri na ya kidini, tuyafanye ni yenye kubatilika na kupotea. Hayatawanufaisha na yatakuwa ni kama vumbi linalorushwa, nalo ni lile vumbi lembamba linaloonekana kwenye mwangaza wa jua. Hivyo ni kwamba matendo mema hayawi na manufaa yoyote huko Akhera isipokuwa mwenye kuyafanya awe na imani ya kumuamini Mwenyezi Mungu na kumtakasia na kumfuata Mtume Wake Muhammd, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek