×

Na tungeli taka tungeli peleka katika kila mji Mwonyaji 25:51 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:51) ayat 51 in Swahili

25:51 Surah Al-Furqan ayat 51 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 51 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿وَلَوۡ شِئۡنَا لَبَعَثۡنَا فِي كُلِّ قَرۡيَةٖ نَّذِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 51]

Na tungeli taka tungeli peleka katika kila mji Mwonyaji

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولو شئنا لبعثنا في كل قرية نذيرا, باللغة السواحيلية

﴿ولو شئنا لبعثنا في كل قرية نذيرا﴾ [الفُرقَان: 51]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na lau tungalitaka tungalimpeleka muonyaji katika kila mji, wa kuwalingania wao kwa Mwenyezi Mungu, Aliyeshinda na kutukuka, na kuwaonya wao adhabu Yake. Lakini tumekufanya wewe, ewe Mtume, ni mwenye kupelekwa kwa watu wote wa ardhini, na tumekuamrisha wewe uwafikishie hii Qur’ani
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek