Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 16 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿ٱلَّذِينَ يَقُولُونَ رَبَّنَآ إِنَّنَآ ءَامَنَّا فَٱغۡفِرۡ لَنَا ذُنُوبَنَا وَقِنَا عَذَابَ ٱلنَّارِ ﴾
[آل عِمران: 16]
﴿الذين يقولون ربنا إننا آمنا فاغفر لنا ذنوبنا وقنا عذاب النار﴾ [آل عِمران: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waja hawa wacha-Mungu huwa wakisema, «Mola wetu, sisi tumekuamini Wewe na tumemfuata Mtume Wako Muhammad , rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, tusamehe madhambi tuliyoyatenda na utuepushe na adhabu ya Moto.» |