Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 75 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿لَا يُفَتَّرُ عَنۡهُمۡ وَهُمۡ فِيهِ مُبۡلِسُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 75]
﴿لا يفتر عنهم وهم فيه مبلسون﴾ [الزُّخرُف: 75]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawatasahilishiwa, na wao wakiwa ndani yake watakuwa ni wenye kukata tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu |