Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 15 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿إِنَّا كَاشِفُواْ ٱلۡعَذَابِ قَلِيلًاۚ إِنَّكُمۡ عَآئِدُونَ ﴾
[الدُّخان: 15]
﴿إنا كاشفوا العذاب قليلا إنكم عائدون﴾ [الدُّخان: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tutawaondolea nyinyi adhabu kidogo na mtaona kuwa nyinyi mtarudia yale ambayo mlikuwa mkiyafanya ya ukafiri, upotevu na ukanushaji, na kwa hakika sisi tutawaadhibu kwa hayo |