Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 58 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿فَإِنَّمَا يَسَّرۡنَٰهُ بِلِسَانِكَ لَعَلَّهُمۡ يَتَذَكَّرُونَ ﴾
[الدُّخان: 58]
﴿فإنما يسرناه بلسانك لعلهم يتذكرون﴾ [الدُّخان: 58]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika sisi tumeyarahisisha matamshi ya Qur’ani na maana yake kwa lugha yao, ewe Mtume, kwani huenda wakawaidhika na wakakemeeka |