Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 17 - مُحمد - Page - Juz 26
﴿وَٱلَّذِينَ ٱهۡتَدَوۡاْ زَادَهُمۡ هُدٗى وَءَاتَىٰهُمۡ تَقۡوَىٰهُمۡ ﴾
[مُحمد: 17]
﴿والذين اهتدوا زادهم هدى وآتاهم تقواهم﴾ [مُحمد: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale walioongoka kuifuata haki, Mwenyezi Mungu Aliwaongezea uongofu , na kwa hivyo uongofu wao ukapata nguvu na Akawaafikia kwenye uchamungu na akaufanya sahali kwao |