×

Sema: Je! Mnawaabudu, badala ya Mwenyezi Mungu, wale ambao hawawezi kukudhuruni wala 5:76 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma’idah ⮕ (5:76) ayat 76 in Swahili

5:76 Surah Al-Ma’idah ayat 76 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 76 - المَائدة - Page - Juz 6

﴿قُلۡ أَتَعۡبُدُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ مَا لَا يَمۡلِكُ لَكُمۡ ضَرّٗا وَلَا نَفۡعٗاۚ وَٱللَّهُ هُوَ ٱلسَّمِيعُ ٱلۡعَلِيمُ ﴾
[المَائدة: 76]

Sema: Je! Mnawaabudu, badala ya Mwenyezi Mungu, wale ambao hawawezi kukudhuruni wala kukufaeni? Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia, Mwenye kujua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قل أتعبدون من دون الله ما لا يملك لكم ضرا ولا نفعا, باللغة السواحيلية

﴿قل أتعبدون من دون الله ما لا يملك لكم ضرا ولا نفعا﴾ [المَائدة: 76]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sema, ewe Mtume, kuwaambia makafiri hawa, «Vipi mtamshirikisha Mwenyezi Mungu na asiyeweza kuwadhuru chochote wala kuwaletea manufaa yoyote?» Mwenyezi Mungu Ndiye Mwenye kuyasikia maneno ya waja Wake, Ndiye Mwenye kuzijua hali zao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek