Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 39 - الذَّاريَات - Page - Juz 27
﴿فَتَوَلَّىٰ بِرُكۡنِهِۦ وَقَالَ سَٰحِرٌ أَوۡ مَجۡنُونٞ ﴾
[الذَّاريَات: 39]
﴿فتولى بركنه وقال ساحر أو مجنون﴾ [الذَّاريَات: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Fir'awn akayapa mgongo akighurika nguvu zake na wasaidizi wake na akasema kuhusu Mūsā, «Yeye ni mchawi au ni mwendawazimu,» |