×

Ni vya Mwenyezi Mungu vyote viliomo mbinguni na viliomo katika ardhi, ili 53:31 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Najm ⮕ (53:31) ayat 31 in Swahili

53:31 Surah An-Najm ayat 31 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 31 - النَّجم - Page - Juz 27

﴿وَلِلَّهِ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِ لِيَجۡزِيَ ٱلَّذِينَ أَسَٰٓـُٔواْ بِمَا عَمِلُواْ وَيَجۡزِيَ ٱلَّذِينَ أَحۡسَنُواْ بِٱلۡحُسۡنَى ﴾
[النَّجم: 31]

Ni vya Mwenyezi Mungu vyote viliomo mbinguni na viliomo katika ardhi, ili awalipe walio tenda ubaya kwa waliyo yatenda, na walio tenda mema awalipe mema

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولله ما في السموات وما في الأرض ليجزي الذين أساءوا بما عملوا, باللغة السواحيلية

﴿ولله ما في السموات وما في الأرض ليجزي الذين أساءوا بما عملوا﴾ [النَّجم: 31]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ni ya Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kutukuka, mamlaka ya vilivyoko mbinguni na vilivyoko ardhini, ili Awalipe wale waliokosa kwa kuwatesa kwa maovu waliyoyafanya na Awalipe Pepo wale waliofanya wema
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek