Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 31 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿سَنَفۡرُغُ لَكُمۡ أَيُّهَ ٱلثَّقَلَانِ ﴾
[الرَّحمٰن: 31]
﴿سنفرغ لكم أيها الثقلان﴾ [الرَّحمٰن: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nitawatengea kipindi cha kuwahesabu na kuwalipa kwa matendo yenu mliyoyafanya, enyi vizito viwili:-majini na binadamu-, tuwatese watu wa maasia na tuwape malipo mema watu wa utiifu |