Quran with Swahili translation - Surah Al-Qalam ayat 15 - القَلَم - Page - Juz 29
﴿إِذَا تُتۡلَىٰ عَلَيۡهِ ءَايَٰتُنَا قَالَ أَسَٰطِيرُ ٱلۡأَوَّلِينَ ﴾
[القَلَم: 15]
﴿إذا تتلى عليه آياتنا قال أساطير الأولين﴾ [القَلَم: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ikawa akisomewa aya za Qur’ani na mtu yoyote huzikanusha na kusema kuwa hizo ni maneno ya urongo na itikadi za watu waliopita. Aya hizi, ingawa zimeteremka kwa baadhi ya washirikina, kama vile al-Walīd bin \al-Mughīrah, zina onyo ndani yake kwa Muislamu asikubaliane na anayesifika kwa sifa hizi zenye kutukanika |