Quran with Swahili translation - Surah Al-haqqah ayat 18 - الحَاقة - Page - Juz 29
﴿يَوۡمَئِذٖ تُعۡرَضُونَ لَا تَخۡفَىٰ مِنكُمۡ خَافِيَةٞ ﴾
[الحَاقة: 18]
﴿يومئذ تعرضون لا تخفى منكم خافية﴾ [الحَاقة: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Katika Siku hiyo, mtaorodheshwa kwa Mwenyezi Mungu, enyi wat, ili mhesabiwe na mlipwe, hakuna chochote kitakachofichamana kwa Mwenyewzi Mungu miongoni mwa siri zenu |