Quran with Swahili translation - Surah Al-Qiyamah ayat 13 - القِيَامة - Page - Juz 29
﴿يُنَبَّؤُاْ ٱلۡإِنسَٰنُ يَوۡمَئِذِۭ بِمَا قَدَّمَ وَأَخَّرَ ﴾
[القِيَامة: 13]
﴿ينبأ الإنسان يومئذ بما قدم وأخر﴾ [القِيَامة: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Atapashwa habari binadamu Siku hiyo kwa matendo yake yote, mema na mabaya, aliyoyatanguliza miongoni mwa hayo katika maisha yake na aliyoyachelewesha |