Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 22 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿إِنَّ هَٰذَا كَانَ لَكُمۡ جَزَآءٗ وَكَانَ سَعۡيُكُم مَّشۡكُورًا ﴾
[الإنسَان: 22]
﴿إن هذا كان لكم جزاء وكان سعيكم مشكورا﴾ [الإنسَان: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wataambiwa, «Hakika nyinyi mmetayarishiwa haya yakiwa ni badala ya matendo yenu mema, na matendo yenu duniani yalikuwa ni yenye kukubaliwa na kuridhiwa na Mwenyezi Mungu.» |